0
Mwaka 2014 zaidi ya watoto wa shule 276 walitekwa na kundi la Boko Haram walipokuwa shule na kutokomezwa kusikojulikana, Kundi hilo limewaachia huru mabinti wengine 21 mara baada ya mapema mwaka huu kuwaachi mabinti wawili.


Katika mabinti hawa walioachiwa wapo wenye watoto ambao walipewa mimba na wanajeshi hao kutokana na kubakwa kwa nguvu walipokuwa  wametekwa.

Mabinti hao walifikia kwa makamu wa RAIS, Osinbajo  wa nchi hiyo  na walipokelewa na makamu wa Rais na Mke wake

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top