Tangu Mheshimiwa Edward ngoyai Lowasa kukiama chama cha Mapinduzi na kuhamia Chadema,Jimbo la Monduli lilichukuliwa na Chama pinzani [CHADEMA] kwa nguvu kubwa waliyoipata kutoka kwa Lowassa.
Aliekamata kiti hicho kwa kuchaguliwa kwa kura nyingi ni Julius Kalanga.
Na hiki ndicho alichokiandika katika ukurasa wake wa Facebook.
Aliekamata kiti hicho kwa kuchaguliwa kwa kura nyingi ni Julius Kalanga.
Na hiki ndicho alichokiandika katika ukurasa wake wa Facebook.
Tunaheshimu
kwamba Rais ana mamlaka na madaraka ya kutoa amri,Lakini ni LAZIMA
kufuata katiba ya nchi.hatuwezi kuendesha nchi kama gulio.
Post a Comment
karibu kwa maoni