![]() |
Makaazi mapya ya Israel yanayojengwa katika Ardhi ya Palestina |
Taarifa hiyo inajiri saa kadhaa baada ya waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuahidi kuanzisha ujenzi wa makaazi mapya ya serikali baada ya kituo cha kijeshi cha Amona kuharibiwa.
![]() |
Rais wa Marekani Donald Trump |
Tangu kuapishwa kwa rais Donald Trump ambaye ameonekana kupendezwa na ujenzi wa makaazi hayo, Israel imetangaza mipango yake ya kujenga makaazi mapya 6000.
Post a Comment
karibu kwa maoni