0
Image result for mji wa babati




Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Babati anawatangazia wananchi wenye mahitaji ya viwanuja kuwa Halmashuri inauza viwanja kwa ajili ya biashara mbalimbali.
Bei za viwanja kwa makazi shilingi 1,500 kwa mita moja ya mraba.
Kwa ajili ya makazi na biashara shilingi 3,000 kwa mita ya mraba.
Kiwanja kwa ajili ya biashara shingi 5,000 kwa mita moja.
Kiwanja kwa ajili ya Kiwanda shilingi 10,000 kwa mita moja.
Kiwanja kwa ajili ya shule,zahanati shilingi 2,000 kwa mita.
Kiwanja kwa ajili ya Hotel shilingi 10,000 kwa mita.
Sifa za Mwombaji awe mtanzania .
Fomu zinapatikana Halmashauri ya mji wa Babati  na mwisho wa kuchukua fomu ni tarehe 31.3.2018.
Tembelea http://www.babatitc.go.tz/advertisement/tangazo-la-kuuza-viwanja

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top