0
Jeshi la polisi kikosi cha usalama bara barani mkoa wa Manyara limewataka madereva wanaotumia SPOT LIGHT kuacha mara moja kwani zinachangia ajali za mara kwa mara.

Taa hizo zilipigwa marufuku nchi nzimakuanzia mwezi Februari Mwaka huu ispokuwa katika magari yanayotumika katika hifadhi
za wanyama za Taifa.


Akizungumza na mtandao huu mkuu wa usalama barabarani mkoa wa Manyara Mary Kipesha ametoa onyo kwa madereva wanaopakia abiria kupita kiasi na abiria watakaokutwa wamesimama watachukuliwa hatua za kisheria ikiwa sambamba na kutozwa faini.

Msikilize hapa chini.






Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top