0
Tawi la Klabu ya Yanga mkoa wa Manyara lenye makao yake makuu mjini Babati
linatarajia kukaa kikao siku ya Jumapili kwa ajili ya kutambulisha uongozi wa tawi ndani ya mkoa.


Akitoa taarifa kwenye mtandao huu Mwenyekiti wa TAWI Jumanne Machumu ametaja muda wa kikao hicho kuwa ni saa tano asabuhi MOON LIGHT.

Aidha amewaalika wote wanachama na wasio wanachama ili kuzungumzia masuala muhimu ya kuijenga Yanga ndani ya  Manyara.



Sauti hii hapa msikilize

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top