0


Displaying IMG_0001.JPGMkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Samwel Kamanga akiweka saini katika kitabu chwa wageni alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara (Saba saba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es salaam. Kulia ni Afisa Habari wa Wizara ya Fedha na Mipango Josephine Majura.Displaying IMG_2101.JPG

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Bw. Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara (Saba saba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es salaam.
Displaying IMG_0196.JPG
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dorothy Mwanyika (kushoto) akipokea kitabu kutoka Taasisi ya Uhasibu Arusha (T) (IAA) alipotembelea banda la Wizara ya Fedha na Mipango katika Maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara (Saba saba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es salaam.


Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top