0
Bomu laua watoto watatu Mkoani Arusha,ni katika eneo ambalo jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ linafanyia mazoezi yake.
Licha ya tahadhari inayotolewa na JWTZ kwa kuweka mabango ya matangazo ya kwamba eneo hili ni la Mafunzo ya Kijeshi katika maeneo hayo ya wilaya ya Monduli lakini bado jamii za wafugaji wanayatumia kuchungia mifugo yao hali inahatarisha maisha yao.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top