0
Daudi Hamad katibu wa Chama cha mapinduzi wilaya ya Babati mjini ni mmoja kati ya viongozi waliohudhuria kuzinduliwa kwa masafa ya Sunrise Redio 100.3 mkoani Manyara akimwakilisha mbunge wa viti maalumu wa chama hicho Bi Ester Mahawe.

Alizungumzia mambo mengi muhimu lakini pia akakiri kwamba Kauli mbiu ya rais wa awamu ya tano Mheshimiwa John Pombe Magufuli inasapotiwa sana na vyombo vya habari.

Alisema'Kitendo cha kuongezeka hii redio hapa mkoani Manyara,mimi binafsi kinanipa faraja kubwa sana.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top