0
Kampuni ya Aspire Media inayomiliki pia Sun rise Radio jijini Arusha
imezidi kutanua wigo wa Mawasiliano na kuhakikisha inawafikia
watannzania katika mikoa 10 ili kutimiza kauli mbiu yao inayosema PAMOJA
NA WEWE.

Kwa sasa tayari wamezindua masafa mapya katika mkoa wa
Manyara ambayo ni 100.3 yanayosikika na mkoa wa jirani wa Dodoma na
jumapili septemba 31 wanazindua masafa mapya katika mji wa Singida.

Lengo la Aspire Media ni kuwafikia watu aina mbalimbali kwa kuwapatia vipindi kulingana na mahitaji ya mkoa husika.




Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top