Maafisa wa forodha nchini Kenya
wamemkamata mwanamume anayedaiwa kuwa raia wa Tanzania katika uwanja wa
kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi akisafirisha dhahabu ya
thamani ya dola milioni moja, taarifa zinasema.
Mwanamume huyo
mwenye umri wa miaka 46 anadaiwa kuwasili kutoka Mwanza, Tanzania
kupitia uwanja wa Kilimanjaro na alikuwa safarini kuelekea Dubai.
SOURCE:BBC
Post a Comment
karibu kwa maoni