Binti wa miaka 16 aliepotea,Julian Cusbeth kulia akiwa na pacha wake katika picha. |
Kwa mujibu wa mama yake mzazi mtoto huyo ambaye ana matatizo ya akili mara ya mwisho alionekana mtaa wa Nyunguu akiwa amevaa sketi ya rangi ya udongo,tshirt rangi blue mpauko na sweta la Track rangi Nyeusi.
kwa atakae muona awasiliane na mama wa mtoto kwa simu namba 0784 633 834.
Post a Comment
karibu kwa maoni