0
Image result for simba vs al masry 
Mchezo kati ya SIMBA SC ya Dar es Salaam  na Al Masry ya Misri umevunjika baada ya mvua ya ghafla kunyesha na kusababisaha maji kujaa uwanja wa taifa huku umeme ukizimika.

 Mchezo  huo ulikuwa ni wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika.
 
Mchezo huo ulioanza  Saa 12:00 jioni ulivunjika dakika ya 77 huku timu zote zikiwa zimeshafungana mabao 2-2.
 
Timu zote mbili zilionyesha uwezo walionao kwa kutandaza kabumbu safi.

Mchezo huo unatarajiwa kurudiwa kesho.
 

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top