0
Hivi karibuni msanii Nay wa Mitego alitoa wimbo wake wa ‘Mikono Juu’ wimbo ambao ulifungiwa na kupigwa marufuku kupigwa kwenye vituo vya radio na video, huku akipewa onyo na Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Juliana Shonza.
Sasa Nay wa Mitego ametuletea hii mpya ya kuitazama inaitwa  ‘Kaa Mbali Nao’ inadakika 3:46 je Nay wa Mitego amezingatia yale masharti yaliyotolewa na BASATA..?
 

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top