Staa wa muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz ameliweka hadharani
penzi la msanii wa Bongo fleva kutoka WCB Rich Mavoko na Lulu Diva.
Kwa
muda mrefu kumekuwa na tetesi kuwa msanii wa muziki Lulu Diva na Rich
Mavoko ni wapenzi ingawa wenyewe wamekataa mara kwa mara kuwa hawana
uhusiano wowote.
Post a Comment
karibu kwa maoni