0

Gari ye jeshi la polisi mkoani Arusha Toyota landcruser namba PT 1715 ambayo ilikuwa ikitumika kusindikiza fedha zilizokuwa zinapelekwa B.O.T imepata ajali na kusababisha majeruhi kwa askari wanne pamoja na afisa mmoja wa Bank.
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, Yusuph Ilembo amesema ajali hiyo imetokea katika eneo la Tengeru baada ya gari aina ya Isuzu Tipper na kuigonga gari ya polisi na kusababisha magari yote kuharibika.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top