0
Jokate Atumbuliwa Uongozi UVCCMMwanadada mrembo na mjasiriamli Tanzania, Jokate Mwegelo ametenguliwa uongozi katika chama cha mapinduzi, nafasi alikuwa ameteuliwa mwaka jana kuwa katibu Mwenezi wa uhamasishaji kwa vijana uvccm.
Utenguzi huo ulifanyika March 25 katika kikako cha dharura kilichofanyika jijini baada ya kamati kuu ya uvccm ikiongizwa na Denis James ambae ni mwenyekiti wake kuamua kumtoa uongozi huo dada huyo.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top