0
MHUBIRI AWATAKA WAUMINI WAMCHANGIE ANUNUE NDEGE YAKE YA  NNE. MHUBIRI AWATAKA WAUMINI WAMCHANGIE ANUNUE NDEGE YAKE YA NNE.

Mhubiri mmoja wa Kiinjilisti nchini Marekani amewaomba waumini wake kuchanga pesa za kumsaidia kununua ndege yake ya nne. Amesema hata ka...

Read more »endelea

0
KINANA AKABIDHI RASMI OFISI KWA BASHIRU. KINANA AKABIDHI RASMI OFISI KWA BASHIRU.

Leo May 31, 2018 Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)  Abdulrahman K...

Read more »endelea

0
WASHTAKIWA KWA UPORAJI WA MALI ZA UMMA KENYA WATIWA RUMANDE. WASHTAKIWA KWA UPORAJI WA MALI ZA UMMA KENYA WATIWA RUMANDE.

Watuhumiwa 24 walioshtakiwa kuhusiana na kashfa ya ufujaji wa pesa katika Shirika la Vijana wa huduma kwa Taifa (NYS) watakaa rumande kw...

Read more »endelea

0
WAFANYABIASHARA TANZANITE WAOMBA KONGAMANO. WAFANYABIASHARA TANZANITE WAOMBA KONGAMANO.

WAFANYABIASHARA wa madini mkoani Arusha, wameiomba Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) iandae Jukwaa la Fursa la Kibiashara la tanzanit...

Read more »endelea

0
DKT. ASHATU KIJAJI AZIPONGEZA BENKI KUSHUSHA RIBA ZA MIKOPO DKT. ASHATU KIJAJI AZIPONGEZA BENKI KUSHUSHA RIBA ZA MIKOPO

Uamuzi wa Serikali wa kupunguza kiwango cha chini cha amana kinachotakiwa kuwekwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na benki za biashara   nch...

Read more »endelea

0
TAKWIMU ZA UKEKETAJI MKOA WA  MANYARA ZATISHA,ZAPAA KWA ASILIMIA 70%. TAKWIMU ZA UKEKETAJI MKOA WA MANYARA ZATISHA,ZAPAA KWA ASILIMIA 70%.

Hali ya Ukeketaji katika mkoa wa Manyara bado ni tatizo kutokana na watoto wchanga pia kufanyiwa vitendo vya ukeketaji kwa siri pale wana...

Read more »endelea

0
FAMILIA YATEKETEA KWENYE  AJALI PIKI PIKI. FAMILIA YATEKETEA KWENYE AJALI PIKI PIKI.

Watu watatu wakazi wa Kitongoji cha katandala Mkoa wa Rukwa Wilayani Sumbawanga wa ambao ni wakazi wa  familia moja akiwemo baba, mama ...

Read more »endelea

0
KURASA ZA MBELE NA NYUMA MAGAZETI YA LEO JUMATANO MAY 30.2018 KURASA ZA MBELE NA NYUMA MAGAZETI YA LEO JUMATANO MAY 30.2018

Read more »endelea

0
VIDEO:JESHI LA POLISI MANYARA LAENDELEA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA. VIDEO:JESHI LA POLISI MANYARA LAENDELEA KUDHIBITI MADAWA YA KULEVYA.

Jeshi la polisi mkoani Manyara limesema kuwa limeendelea kudhibiti vitendo vya uhalifu na biashara ya madawa ya kulevya kwa kufanya dori...

Read more »endelea

0
BUNDUKI YA KIVITA YAOKOTWA VICHAKANI ARUSHA. BUNDUKI YA KIVITA YAOKOTWA VICHAKANI ARUSHA.

Bunduki ya kivita aina ya AK 47, ikiwa na risasi nne ndani imeokotwa ndani ya vichaka katika Kijiji cha Naan, Wilaya ya Ngorongoro mko...

Read more »endelea

0
SEKTA YA FEDHA YATAKIWA KUONGEZA UBUNIFU KATIKA UTOAJI WA MIKOPO. SEKTA YA FEDHA YATAKIWA KUONGEZA UBUNIFU KATIKA UTOAJI WA MIKOPO.

SERIKALI imeitaka Sekta ndogo ya Benki kuongeza ubunifu kwa kutoa mikopo ya muda mfupi na mrefu ambayo itawezesha ukuaji wa sekta za viw...

Read more »endelea

0
MCHUNGAJI ATUHUMIWA KUMUUA MKE WAKE KISA WIVU WA MAPENZI. MCHUNGAJI ATUHUMIWA KUMUUA MKE WAKE KISA WIVU WA MAPENZI.

MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Rose Mndenye (31), anadaiwa kuuawa na mume wake kwa kile kinachodaiwa wivu wa mapenzi. Akizungum...

Read more »endelea

0
MTANZANIA AIBUKA MSHINDI MASHINADANO YA KUHIFADHI QURAN AFRIKA. MTANZANIA AIBUKA MSHINDI MASHINADANO YA KUHIFADHI QURAN AFRIKA.

KIJANA wa Kitanzania, Shujaa Suleiman Shujaa ameibuka kidedea na kitita cha sh. milioni 15 katika mashindano ya 19 ya Afrika ya kuhifa...

Read more »endelea

0
YASOME MAGAZETI YA LEO JUMATATU MAY 28.2018. YASOME MAGAZETI YA LEO JUMATATU MAY 28.2018.

Read more »endelea
 
 
Top