
Hayo
yameleezwa na mtoto wa Rais Kikwete na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani
Kikwete akiwa mjini Dodoma anapohudhuria vikao vya Bunge.
Ridhiwan
amesema kuwa, walipewa mwaliko wa kuhudhuria harusi ya mwanamuziki Ali
kiba, lakini Rais mstaafu Kikwete kwa sasa anahudhuria shughuli nyingine
Marekani, naye Ridhiwani anahudhuria vikao na shughuli mbalimbali
bungeni mjini Dodoma hivyo hawataweza kuhudhuria harusi ya mwanamuziki
huyo Kenya.
Post a Comment
karibu kwa maoni