0

Image result for usalama sc 
Ligi ya klabu bingwa mkoa inazidi kuchanja mbuga viwanja tofauti hapa nchini ambapo kwa kituo cha Hai mkoani Kilimanjro Usalama Sc ya Manyara imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Bishop Durning ya Arusha.
Katika mchezo wa leo uliopigwa katika dimba la Ccm Boma Ng’ombe mchezo ulikuwa ni hamsini kwa hamsini timu zikishambuliana kwa Zamu.
Kwa matoke ya leo Usalama ya Manyara iliyopo kundi D inafikisha pointi 4 sawa na Sahare all Stars ya Tanga yenye pointi 4 pia.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top