0


Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia Msanii wa Bongo Fleva (BASSFU), Zuhura Othman Masoud (Zuchu) kuendesha shughuli zote za Sanaa Visiwani humo pamoja na kupiga marufuku Redio na Televisheni za Zanzibar kupiga nyimbo zake kwa Miezi sita

Imeelezwa Februari 24, 2024, Zuchu wakati akitumbuiza katika usiku wa Fullmoon Kendwa aliimba Nyimbo, kutoa matamshi na kuonyesha ishara mbaya ambazo ni kinyume na Maadili ya Zanzibari

Pia, Zuchu ametakiwa kulipa faini ya Tsh. 1,000,000 kwa Baraza na aandike barua ya kuomba radhi na kwamba hatorudia kosa hilo.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top