Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi ili kuhojiwa kuhusiana na tuhuma za madawa ya kulevya.
Taarifa za kukamatwa kwa Mbowe zimethibitishwa na Kamishna wa kanda maalumu Dar es salaam Simon Sirro
Msemaji wa CHADEMA Boniface Makene,amesema Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.
Msemaji wa CHADEMA Boniface Makene,amesema Mbowe amekamatwa wakati akiwa njiani kuelekea kituo cha polisi kwa mahojiano.
Post a Comment
karibu kwa maoni