Hafla ya tuzo za Oscars imemalizika kwa kishindo cha mkanganyiko.
Filamu, Moonlight, inayosimulia hadithi ya mvulana mweusi anayeegemea mapenzi ya jinsia moja imechukua tuzo kuu ya filamu bora. Awali filamu ya kimuziki LALA Land ilitangazwa kuwa filamu bora, na baada ya waigizaji wa filamu hiyo kuingia jukwaani tayari kutoa hotuba zao za ushindi, mmoja wa watayarishi wa Oscars akainglia na kutangaza kwamba Moonlight ndio mshindi halisi.
Post a Comment
karibu kwa maoni