0
Side Entertainment akiwa na familia yake.
Baada ya kuwaleta Mastaa wa Bongo Fleva Kutoa Burudani Babati mkoani Manyara Promota mkubwa Mkoani Manyara Saidi Kopwe Chini ya kampuni yake ya burudani SIDE ENTERTAINMENT,sasa ni zamu ya Baraka Dar Prince kutua Manyara.
Wakazi wa mji wa Babati na Viunga vyake walikuwa na shauku ya muda mrefu kumwona Baraka akiwa Stejini bila mafanikio muda mrefu kupita.
Show hiyo itakayofanika tarehe 24 February siku ya ijumaa Club Lavista  inajulikana kama USIKU WA BARAKA DA PRINCE BABATI.


Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top