0
Ni msanii mwenye bidii kubwa katika kazi ya mziki kwani amekuwa akiandika mashairi yenye ujumbe mzito ndani yake huku akiwa mbunifu.
Jina lake anaitwa Ashura [A.stanza] mbali na kufanya kazi ya mziki lakini pia anao uwezo mkubwa wa kuigiza.
Mpaka sasa anazo nyimbo nne ambazo ukizisikiliza utakiri amakweli dada anaweza.
Wimbo wake wa Kwanza huu hapa katika video NISAMEHE.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top