|
Makaazi mapya ya Israel yanayojengwa katika Ardhi ya Palestina
|
Ikulu ya White house nchini Marekani inasema kuwa utawala wa Donald
Trump haujachukua msimamo rasmi kuhusu ujenzi wa makaazi ya Israel
katika ardhi ya Palestina, lakini upanuzi zaidi wa makaazi hayo huenda
ukaathiri mazungumzo ya amani katika eneo hilo.
Taarifa hiyo inajiri saa kadhaa baada ya waziri mkuu wa Israel Benjamin
Netanyahu kuahidi kuanzisha ujenzi wa makaazi mapya ya serikali baada ya
kituo cha kijeshi cha Amona kuharibiwa.
|
Rais wa Marekani Donald Trump
|
Tangu kuapishwa kwa rais Donald Trump ambaye ameonekana kupendezwa na
ujenzi wa makaazi hayo, Israel imetangaza mipango yake ya kujenga
makaazi mapya 6000.
Post a Comment
karibu kwa maoni