0
Utafiti wa awali ulionyesha kuwa sokwe hupenda sana kusikiliza muziki
Image captionUtafiti wa awali ulionyesha kuwa sokwe hupenda sana kusikiliza muziki
Utafiti uliofanyika Uingereza na Marekani umegundua kua sokwe wakubwa na jamii nyinginezo sio wapenzi wakubwa wa muziki.
Utafiti huo unapingana na imani za walio wengi kuwa kupiga muziki maeneo ya hifadhi za wanyama huwafurahisha.
Watafiti hao walipiga muziki ambao unasemekana kupendwa na sokwe ungewafanya kufanya ni aina gani ya muziki wanaoupenda ikiwemo miondoko ya pop na nyinginezo.
Matokeo yake sokwe hao hawakuonyesha wamevutiwa haswa na aina gani ya wimbo, sio wa Ludwig van Beethoven ama Justin Bieber.
Katika tafiti za awali zinaonyesha sokwe huvutiwa na muziki wa taratibu zaidi ambapo unapingwa na utafiti wa sasa.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top