0
Mama wa White Rose Hotel akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya simba.



Mkali wao muite Kichuya.Mamia ya mashabiki wa simba waliselfie na jamaa huyu picha kibao.


Heee........ni kweli nimetokea???
Ngoja nifunge macho wasinione Kabisa
Mwalimu wa Galapo Parish kulia akiwa katika picha ya pamoja na wekundu wa msimbazi
Kumbe kweli ni Kichuya kaja Babati.?
Simba wakati wanaelekea Arusha baada ya kutoka Dodoma kucheza na Polisi Dodoma ilivyotua Babati ilipokewa kwa mbwembwe zote na Mashabiki wake huku wakiahidi kutowaangusha katika michezo yao iliyobaki.
Gari la wekundu wa Msimbazi.
Mashabiki wa Simba Babati wakiagana na wachezaji.
Wacha kwanza tupate msosi tusepe Arusha.

Add caption

Omog alichapa picha na wadau.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top