0
Baada ya mchezo wao dhidi ya Mount Hanang Gallapo Parish imezidi kutamba na kusema kuwa kila watakaekutana nao lazima wachezee kichapo cha mabao.
Nico Baha kocha wa Gallapo Parish anasema wachezaji wake wote wako fiti na hakuna majeruhi.
Mchezo wao wa tatu jana wamewaonyesha Mount Hanang kwamba wao ni wababe wa wilaya ya Babati kwa kuwapiga bao 4-0 michuano ya ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Manyara.
Mabao yamefungwa na Ally Ramadhani [Rasta]Hat Trick huku moja likifungwa na Diblo Dibala.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top