Wafanyabiashara 13 wa Pombe kali zilizofungashwa katika mifuko ya plastiki maarufu kama viroba mkoani Manyara wamesalimisha zaidi ya katoni 1,540 zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 140.
Wafanyabiashara hao kutoka wa wilaya ya Hanang’ na Babati Mjini licha ya kusalimisha viroba hivyo kutokana wamesema imewasababishia hasara kubwa.
Hatua hiyo Imekuja mara baada ya serikali kuanza kupiga marufuku pombe hizo zilizopo katika vifungashio ambazo zimeharibu vijana wengi.
Post a Comment
karibu kwa maoni