Rais John Pombe Magufuli akiongea na Umoja wa watanzania wanaoishi nchini Mauritius.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wanaoishi nje ya nchi wazingatie sheria za Taifa husika na kamwe wasijihusishe na biashara haramu ya dawa za kulevya.
Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Umoja wa Watanzania wanaoishi nchini Mauritius katika mkutano aliouitisha mjini Port Louis nchini humo.
Kwa upande wake, Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Khalid Salum Mohammed amewaomba Watanzania hao wazidishe mshikamano.
Naye Mwenyekiti wa muda wa Umoja wa Watanzania waishio nchini Mauritius, Donald Kongwa amemuhakikishia Waziri Mkuu kwamba Wataitangaza Vyema Tanzania.

Post a Comment
karibu kwa maoni