Mfumo huu wa utekaji na ukamataji usiozingatia sheria kwa raia wa nchi hii ni dalili ya wazi ya uwepo wa utawala wa kiimla usiozingatia haki za raia.
Ni wajibu wetu kuukataa kwa nguvu zote.
Freeroma mkatoliki.
Ni wajibu wetu kuukataa kwa nguvu zote.
Freeroma mkatoliki.
Imewagusa wasanii wengi na watanzania na wasio watanzania wanajiuliza kulikoni mpaka watekwe?
Prof. Jay ameandika katika ukurasa wake wa Facebook kuwa Roma Mkatoliki, Moni Centrozone na kijana mmoja wa kazi walikamatwa jana wakiwa studio za Tongwe Records.
"Nimestushwa sana kusikia kuwa kuna watu wamevamia studio za Tongwe Records majira ya saa moja usiku na wamemchukua Roma, Moni na kijana wa kazi na pia wamechukua computer ya studio na Screen (Tv) na wameondoka navyo kusikojulikana. Mpaka sasa hatujui wamewapeleka wapi" aliandika Prof. Jay.
Post a Comment
karibu kwa maoni