Mwili huu uliokotwa pembezoni mwa ziwa Victoria huko mkoan Mara.. Aidha taarifa za awali zaonesha marehemu huyu auawa na kisha maiti yake kufungwa kama furushi kwenye baiskeli yake! My take: wananchi tushirikiane kutoa taarifa zozote za uhalifu tukishirikiana na jeshi la polisi. Kwa pamoja tukatae matukio ya kiharifu nchini mwetu ikiwemo vitendo vya utekaji na mauaji ya kinyama na Mungu atubariki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
karibu kwa maoni