Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe akihojiwa mbele ya ya kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kufuatia amri ya Mhe. Spika wa Bunge ya kumtaka afike mbele ya kamati hiyo kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge kutokana na matashi yasiyo na staha aliyoyatoa mapema mwezi Machi 2017 Bungeni Mjini Dodoma yaliyokuwa na madai ya kudharau Bunge.MBOWE,HALIMA MDEE WAHOJIWA.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), Mhe. Freeman Mbowe akihojiwa mbele ya ya kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kufuatia amri ya Mhe. Spika wa Bunge ya kumtaka afike mbele ya kamati hiyo kujibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge kutokana na matashi yasiyo na staha aliyoyatoa mapema mwezi Machi 2017 Bungeni Mjini Dodoma yaliyokuwa na madai ya kudharau Bunge.
Post a Comment
karibu kwa maoni