0
Wanaharakati mbalimbali wa Haki za Wanawake duniani wanapambana kuhakikisha Wanawake wanakuwa katika nafasi nzuri kazini, shuleni na popote inapowezekana ili kuwainua kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni.
April 2, 2017 nimekutana na stori hii  ambayo inahusu nchi zenye wafanyakazi wengi wa kike wenye kiwango cha juu zaidi cha elimu duniani ambapo Canada ikitajwa kuwa kinara kwa kuwa na wafanyakazi wa kike wenye elimu kubwa zaidi duniani.
Hizi hapa nchi 12 ambazo zina wafanyakazi wa kike wenye elimu kubwa zaidi duniani.
NafasiNchi% ya wafanyakazi wa kike wenye elimu kubwa
1Canada58%
2Cyprus50%
3Estonia50%
4Ireland49%
5Ubelgiji48%
6Luxembourg48%
7Lithuania47%
8Finland47%
9Norway47%
10Sweden44%
11Uingereza43%
12Uhispania42%

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top