Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano leo April 27, 2017 imewasilisha Bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambapo wizara imeomba kutengewa shilingi za kitanzania zaidi ya Trilion 4.5 bajeti ambayo iliwasilishwa na Waziri mwenye dhamana hiyo Makame Mbarawa.WIZARA YA UJENZI IMEOMBA KUTENGEWA TRILION 4.5 KAMA BAJETI YAKE 2017/2018
Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano leo April 27, 2017 imewasilisha Bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambapo wizara imeomba kutengewa shilingi za kitanzania zaidi ya Trilion 4.5 bajeti ambayo iliwasilishwa na Waziri mwenye dhamana hiyo Makame Mbarawa.
Post a Comment
karibu kwa maoni