Mbunge wa jimbo la Monduli [CHADEMA] Mheshimiwa Julius Kalanga amesema kuwa Ofisi ya umma sio ofisi ya ccm hivyo atakabiliana nao siku ya jumamosi ambapo CCM inatarajia kufanya mkutano wake.
"Nawahakikishia hawatafanya kikao katika majengo ya umma".aliandaika Julius Kalanga katika ukurasa wake wa Facebook.
"Nawahakikishia hawatafanya kikao katika majengo ya umma".aliandaika Julius Kalanga katika ukurasa wake wa Facebook.
Post a Comment
karibu kwa maoni