0
Displaying IMG_9730.JPGBalozi wa Hungary hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi Kenya, Laszlo Mathe (kushoto) akionesha nia ya nchi yake kuwa na ushirika wa maendeleo na Tanzania utakao wezesha nchi hizo mbili kunufaika kiuchumi kupitia Sekta mbalimbali za Maendeleo, wakati wa Mkutano kati yake na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (hayupo pichani), katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.
Displaying IMG_9737.JPGWaziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kulia) akizungumza kuhusu fursa zilizopo za uwekezaji katika Nishati, Miundombinu, Kilimo wakati wa Mkutano kati yake na Balozi wa Hungary hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi Kenya, Laszlo Mathe (kushoto), katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, Jijini Dar es salaam.
Displaying IMG_9757.JPGWaziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (kushoto) akipongezana na Balozi wa Hungary hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi Kenya, Laszlo Mathe (kulia), baada ya kumalizika kwa Mkutano kati yao kuhusu uwekezaji wenye tija kwa pande zote mbili. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top