0


Baada ya siku tatu kupita tangu kutokea ajali ya gari huko Haydom wailayani Mbulu na kusababisha vifo vya watatu na majeruhi 22,katika wi;aya ya Babati watu wawili wamepoteza maisha kwa ajli tena.

Kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Francis Masawe huyu hapa anzungumzia ajali hiyo.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top