0
Displaying IMG_1080.JPGWaziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), pamoja na Naibu wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya (Mb), wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Bustani kilichoko wilayani Kondoa mkoani Dodoma, walipotembelea bungeni mjini Dodoma, siku ambayo Bunge limepitisha kwa kishindo Bajeti ya Sh. trilioni 31.7 kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.
Displaying IMG_1213.JPG
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali Bw. Doto James (wa nne kulia-mbele), akiongoza Vongozi waandamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango kufuatilia tukio la Wabunge wakipiga kura kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali ya shilingi trilioni 31.7, Bungeni Mjini Dodoma.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top