0
Kwa kujali na kuthamini mwezi Mtukufu wa Ramadhani mkuu wa mkoa wa Manyara Dk Joel Nkaya Bendera amewaalika waumini wa dini ya kiislamu nyumbani kwake kupata futari ya pamoja.
Kwa upande wa shehe mkuu wa mkoa wa Manyara Kadidi amewataka watanzania kuendelea kuidumisha amani iliyopo hapa nchi kwa kutenda yale yaliyo mema.
Mkuu wa mkoa wa MANYARA Dk Joel Bendera alichukuaa nafasi hiyo kuwashukuru viongozi wa dini kwa kuendelea kufanya maombi na kusaidia kupunguza matendo y uhalifu ndani ya mkoa wa Manyara.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top