0
Mji wa Babati na viunga vyake umeendelea kukombolewa kuachana na dhambi na kumrudia Mungu katika Kongamano la Maombi linaloendelea uwanja  wa Kwaraa.
Mchungaji na mtumishi wa Mungu aliepakwa mafuta Robert Chuma akiwa na watumishi wengine wanafanya maombi ya kuwafungua wagonjwa na wenye shida mbali mbali.
Mkutano unaendelea katika uwanja wa Kwaraa kuanzia saa tisa alasiri.
Waimabaji wakitumbiza katika kongamano
 
Wakazi wa Babati waliohudhuria kwenye kongamano.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top