0


Taarifa zilizonifikia asubuhi hii ni kuhusu kifo cha mke wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe Bi. Linah George Mwakyembe aliyefariki usiku wa July 15, 2017 katika Hospitali ya Aga Khan, DSM.
Bi Linah alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Agha Khan akipatiwa matibabu na shughuli za msiba huo zinafayika nyumbani kwake Kunduchi Beach, DSM.
JOHN WALTER HABARI  inaungana na Watanzania wote kumpa pole Waziri Mwakyembe katika kipindi hiki kigumu.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.


Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top