BREAKING NEWS: DHAMANA YA LISU YAKUBALIWA NA MAHAKAMA
BREAKING NEWS:Baada ya kusota rumande wiki nzima Mbunge wa Singida Mashariki [CHADEMA] Tundu Lisu sasa aachiwa kwa dhamana ya Shilingi mILIONI 10.
Ulinzi umeimarishwa eneo la mahakama Kisutu Dar es salaam
Anaripoti mwandishi Hellen Sissya.
Post a Comment
karibu kwa maoni