0


Wananchi Wa
Wilaya Za Babati,Kiteto Mkoani Manyara Na Visiwa Vya Unguja Wametakiwa Kupata
Suluhisho La Kutokomeza Ugonjwa Wa Utapiamlo Unaosababisha Udumavu Uliowakumba
Watoto Wadogo Wenye Siku 1,000 Tangu Kutungwa Kwa Mimba Wakiwemo Wanawake  Wenye Uwezo Wa Kujifungua Wa Kuanzia Umri Wa
Miaka 14 Hadi 35 Ambao Ndilo Kundi Lililoathirika Na Ugonjwa Huo Kwa Kula
Mbogamboga Za Asili Na Matunda Kama Njia Pekee Itakayoepusha Ugonjwa Huo Na Si
Vinginevyo.

Ushauri Huo
Umetolewa Na Afisa Lishe Bw Jackson Nyalla Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Babati
Mkoani Manyara Kwa Kushirikiana Na Taasisi Ya The World Vegetable Centre Yenye
Makao Yake Makuu Nchini Vietnam Kwenye Kampeni Ya Uhamasishaji Wa   Kuzitaka 
Kila Kaya Kuwa Na Bustani Za Mbogamboga Za Asili Ngazi Ya Familia Na
Kula Mbogamgoga Kwa Wingi Kama Njia Itakayotokomeza Utapiamlo Na Kueleza Umhimu
Wa Mboga Hizo Kwani Mbogamboga Hizo Zina 
Virutubisho Vya Vitamini,Madini Ya Chuma Na Zink Na Kuongeza Damu.   

Nae
Mratibu Wa Mpango Huo Unaofanyika Katika Nchi Tano Za Bara La Afrika Bi
Nadegunda Kessi  Kutoka Kituo Hicho Cha
Pili Duniani Kwa Kuhifadhi Mbegu Za Mbogamboga 
Kilichopo  Hapa Nchini Katika
Shamba Darasa Kwa Wakazi Wa Kaya Za Kata Ya Mamire Amesema Kampeni Hizo
Zinafanyika Katika Wilaya Za Kiteto,Babati Nakisiwa Cha  Unguja Ili Kupunguza Tatizo Hilo Lililoathiri
Taifa Kwa Wastani Wa Asilimia.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top