Mheshimiwa Pulina Philip Gekul alizungumzia mambo mbalimbali ikiwemo maendeleo ya wananchi wa jimbo la Babati mjini akigusia suala la umeme,maji,vifaa vya maabara,Zahanati.
Vifaa vya zahanati vilivyokuwa vitumike Katika zahanati ya Malangi vina muda mrefu ndani ya stoo kwani mpaka leo Zahanati haijakamilika.
Pia Gekul alizungumzia Kuhusu eneo la Maisaka katani na kuwataka walae wote waliomaliza taratibu zote waanze kufanya ujenzi ili huduma muhimu kama maji na umeme zianze kupelekwa.
Aidha amesema ataendelea kutimiza ahadi zake alizowaahidi wapiga kura wake wakati wa kampeni zake mwaka 2015.
Paulina Gekul ni mbunge wa jimbo la Babati mjini Kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA].
Wananchi wa Babati wakimsikiliza Mbunge Paulina Gekul |
Diwani wa kata ya Maisaka Abrahaman Kololi akifuatilia jambo kwa makini |
Mh.Gekul akizungumza na wakazi wa kijiji cha Malangi |
Post a Comment
karibu kwa maoni