Katika kuhakikisha
huduma za mawasiliano zinatolewa kwa ufanisi na ubora mamlaka ya mawasiliano nchini [TCRA] wameendelea
kutoa elimu juu ya mfumo mpya wa kuhama mtandao mmoja kwenda mwingine bila kubadili namba ya simu ya mkononi.

Kaimu naibu
mkurugenzi wa maendeleo ya TEHAMA Mhandisi NEHEMIA MWENISONGOLE akizungumza na
waandishi wa habari leo mkoani manyara juu ya kampeni iliyozinduliwa na [TCRA] kitaifa
ijulikanayo kama ‘‘NAMBA YANGU UTAMBULISHO WANGU’’ameelezea vigezo na masharti
vinavyotumika kuhama kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine kwa kutumia namba
ileile.

Lengo la
TCRA kuanzisha utaratibu huo ni kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma bora
na zenye ubunifu na kuwafanya watoa huduma za mawasiliano kutoa huduma nzuri
kwa wateja wao.

Huduma hiyo
ilitambulishwa rasmi tarehe 1 Machi mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Post a Comment
karibu kwa maoni