Mabibi na Mabwana ni muda wa kuinjoy na good Music kutoka kwa Enno Epire&King Dennis ...wimbo mpya unaitwa Play Boy chini ya label yao ijulikanayo kama RASH MUSIC.
Chukua muda wako isikilize.
Ni baada ya kutamba na ngoma yao PIGA CHINI.
Chukua muda wako isikilize.
Post a Comment
karibu kwa maoni