0






Mbunge wa Arusha mjini na Waziri kivuli wa Mambo ya ndani
Godbless Lema amelaani vikali kitendo cha utekaji wa watoto kinachoendelea
katika baadhi ya maeneo Jijini Arusha.
Mpaka sasa watoto wane wametekwa huku watekaji wakidai fedha
ili wawaachie watoto hao.
Mbunge wa Arusha mjini 
Godbless LEMA amesema bila jeshi la polisi kukabiliana na wahuni
hao,wataendelea kuteka mpaka wake zetu na hata wanaume kwa lengo la kujipatia
pesa.
Amewataka wananchi kushirikiana na jeshi la polisi ili
kufanikisha kuwakamata watu wenye vitendo viovu ndani ya mkoa wa Arusha.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top