0
Mnamo tarehe 8.8.2017 mtaa wa Negamsi kata ya Bagara mjini Babati mkoani Manyara mtu mmoja alikutwa akiwa ananing'inia katika mti akiwa tayari amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia Mkanda wa Suruali.
Leo kamanda wa polisi mkoa wa Manyara Francis Masawe amemtaja mtu huyo kuwa ni Ramadhaniu Amani [32] fundi rangi mkazi wa Kwa Morombo jijini Arusha.
Babati alikuwa akiishi na fundi mwenzake............Chanzo cha kifo chake bado kinachunguzwa.
MSIKILIZE KAMANDA MASAWE HAPA

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top